Makapuku Forum

Number 6, Wayne Rooney na Coleen McLoughlin – usd 8 Million Rooney ambaye ni mchezaji wa Manchester unitd cf huko Uingereza, alimuoa coleen ambaye kwa wakati huo alikuwa ndo mpenzi wake wa kwanza na wa pekee tangu wakiwa wadogo harusi ilikuwa mnamo mwaka 2008 na wageni walikuwa 80 tuu na Rooney na mkewee walilipwa paund milioni 2.5 na kampuni moja ya mgzeti kuwa wapiga picha rasmi wa tukio hilo
Harusi ilikuwa na segmentbili ya kwanza ni iliyo husisha wageni wa alikwa na picha za watu mbali mbali hii ilifanyika kwenye jumba lenye miaka kama 330 hvi liitwalo Louis XVI chandler na seent ya pili ilihusu familia za maharusi tuu ambayo ilifanyika Riviera resort ya huko Santa Margherita Ligure na bwana harusi na ndugu zake walienda kwa ndege wakati bibi harusi na ndugu zake walienda kwa boti ziendazo kasi
 
Mfano wa kuigwa huu...kumbe rooney sio wa michepuko kama Christiano Ronaldo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…