Makapuku Forum

 
R I P Abdu Jumbe
 
NUKUU NO 2#

CUBA inafuata mfumo wa siasa utakaoifaa na tuko tayari kubaki hata miaka 10 au 20 bila uhusiano na Marekani.
Hali yetu ya baadaye itakuwa nzuri bila Misaada kutoka Marekani.

Haya yalisemwa na aliyewahi kuwa waziri wa Cuba, Dk Fidel Castro, wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 26 ya mapinduzi yaliyouondoa ubeberu wa kimarekani.
Katika kisiwa hicho ambapo alisisitiza Marekani si polisi wa Marekani ya kusini na kuipongeza Peru kuanzisha uhusiano na Cuba licha ya katazo la Marekani

Peru iliungana na Chile, Mexico na Jamaica kuipuuza Marekani kwa kuanzisha uhusiano na Cuba

Castro alizaliwa Agosti 13,1926. Alikuwa waziri wa Cuba mwaka 1959 hadi 1976 na kisha kuwa Rais nchi hiyo hadi 2008
 
Kamanda huyo
 
 
Mark Anthony nae ni tatizo kwakweli...yaah Jennifer huwa hadumu na Vichomi hata kidogo
 
Kisiki kilichowashinda Wamarekani. CIA walishafanya majaribio zaidi ya 250 kuking'oa kisiki hiki lakini wakashindwa. Mpaka girlfriend wake kabisa akafika na sumu kali akakikuta kimelewa chakari, akaitoa sumu na kuiweka kwenye kikombe akakipa lakini dakika za mwisho girlfriend akajikuta analia tu "I love you Fidel. I can't kill you Fidel" CIA wamekusanyika kwenye hoteli wanasikiliza laivu wakajikuta wanararua makaratasi "Damn, we failed again!" Long live kamanda!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…