[emoji23][emoji2][emoji2] kuna champion dodoma ya 3 by 3 ndani kuna vumbi ka mnapita barabara ya vumbi afu kuna saibaba la arusha na lenyewe limekua kama daladala linasimama vituoni kusubiri abiria na linapotembea vioo vinajigonga kama mko kwenye tetemeko ni shidaWatu kama nyie mupande Nyehunge express tu ukifika home bila mafua una roho ya simba...[emoji23] [emoji125]
Nyehunge, ulishaipanda nini, geita to darWatu kama nyie mupande Nyehunge express tu ukifika home bila mafua una roho ya simba...[emoji23] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haha natania tu kaka
Habari za wapi?Haha natania tu kaka
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]hahaha...Kubwa lao hataki shigidi.
Ila yote 9, kali yao ni Ngorika ya kwanza, wenyewe wanaiita Kibiriti.[emoji23][emoji2][emoji2] kuna champion dodoma ya 3 by 3 ndani kuna vumbi ka mnapita barabara ya vumbi afu kuna saibaba la arusha na lenyewe limekua kama daladala linasimama vituoni kusubiri abiria na linapotembea vioo vinajigonga kama mko kwenye tetemeko ni shida
Huyo ni kaka wa kimwendokasi aise, mbona anaplay part ya bae [emoji16][emoji16]Huyu kaka ni shidaa...[emoji8]
Iringa mojaHabari za wapi?
Hiyo champion usishangae ukaikuta ndani Kuna mbuzi, kuku na wamama wenye watoto[emoji23][emoji2][emoji2] kuna champion dodoma ya 3 by 3 ndani kuna vumbi ka mnapita barabara ya vumbi afu kuna saibaba la arusha na lenyewe limekua kama daladala linasimama vituoni kusubiri abiria na linapotembea vioo vinajigonga kama mko kwenye tetemeko ni shida
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila yote 9, kali yao ni Ngorika ya kwanza, wenyewe wanaiita Kibiriti.
Inapigwa mpini, vioo vinalia utasema mko kiwanda cha nondo.
Ukifika homu lazma utafute panado.
Pata kilaji cha dog mkuuIringa moja
Ni shiiida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka sana asee
Mchangani wa hapahapa
We acha tu nliwah kupanda kipindi flan unakutana na wenyeji wa dodoma wamepanda na kuku kwenye matenga, gari lina shombo kila kona [emoji3][emoji3] ni shidahhhHiyo champion usishangae ukaikuta ndani Kuna mbuzi, kuku na wamama wenye watoto
Manji kwisha habari yake
Mkuu nimejikuta nakuwa vegeterian kwa muda mana siamini sana nyama za huku [emoji85][emoji85]Pata kilaji cha dog mkuu
Mi nilipanda Nyehunge sina hamu...ndani watu wameshona hadi wanasimama...kuku humo humo wanaruka ruka...mabegi ya juu ya carier yanaangukia watu kila saa gari ikivuka bumps...haya wamama nao wamejichokea wamekalisha ndoo kolido ya gari wamezikalia, mtu begi lako analihararisha kulikalia kama siti yaan taabu tupu...joto ndani hakuna hewa. Sitorudia maana sikujua.We acha tu nliwah kupanda kipindi flan unakutana na wagogo wamepanda na kuku kwenye matenga, gari lina shombo kila kona [emoji3][emoji3] ni shidahhh