Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,638
duuh uko vizuri, wachache sana wanaweza kutumia mikono yote miwili ipasavyo.Nulikuwa naonaga aibu kuandikia mashoto had nikajifunza na mkono wa kulia so sahv natumie yote yote.
Kila kapuku atajifanya mashotoHata Obama nae ni kushoto.
hahaha...ngoja tumsubiri na Kipa wa ArsenalKila kapuku atajifanya mashoto
Lisubiri licongo
![]()
![]()
![]()
.............
Morning papaa werrasonGoodMorning family, nawatakieni siku njema
Mi nilichezea mbata kinoma "unapokeaje na mkono wa kushoto,unakulaje na kono lako la chooni"Nulikuwa naonaga aibu kuandikia mashoto had nikajifunza na mkono wa kulia so sahv natumie yote yote.
Hahahaaa!!Mi nilichezea mbata kinoma "unapokeaje na mkono wa kushoto,unakulaje na kono lako la chooni"
Mwisho nikasusa ikabaki guu la kushoto tu 7bu dili mpirani
![]()
![]()
![]()
...........
Unataka kuniambia wewe ni striker mzuri tu?? aisee uko vizuriHahahaaa!!
Waafrika ukiwa na kono la kushoto wanachukulia dharau ndo maana nikaanza kuuacha taratibu nikiwa PrimaryHahahaaa!!
Asante kwa taarifa, nisubili kwa hamu sanaKuanzia weekend hii (jumamosi na jumapili) Sweetiepie atakuja na kitu... Sasa ili kujua atakuja na nini na itakuwa muda gani basi usiondoke endelea kuwepo hapa hapa KF ili uweze kujua ametuandalia nini
Nawatakia week end njema na muwe na amani na upendo
Msilewe sana
Unataka kuniambia wewe ni striker mzuri tu?? aisee uko vizuri
Du hii kaliLeo katika Historia:
Ni siku ya kimataifa ya Watumiaji wa Mkono wa Kushoto.
Na wewe ni kushoto?Kila kapuku atajifanya mashoto
Lisubiri licongo
![]()
![]()
![]()
.............
Niliacha baada kuchezea sana mbata na masimango utotoni....nikabakisha huu la kushoto tu mpiraniNa wewe ni kushoto?