Makapuku Forum

Huyu lazima aisee
 
Alikuwa mtundu sanaaa
 

Like a god
...........
 
Number 3, Abraham,c. 1812–c. 1637 B.C Google searches: 9.1 million+ kwa mwezi
Number of books: kopi 2 million
Ukitafuta google uneza pata Abraham wa tatu hvi ambao ni Abraham of the Bible, Abraham Lincoln, and Abraham van Helsing.
Lakin sasa ukienda malinyi ulanga huko moro ukawauloza Abraham lincoln hawaez mjua, likn ukiwa uliza wa bibliani au qur'an wata mjua
Abraham ana hesabika na ana heshimika kama moja ya watu wa mwanzo wa huko mashariki ya kati kuamini kuwa kuna mungu mmja
Na dini kuu zote tatu (wayahidi, wakristo na waislam) na watu wa baha wana amini alikuwa ni mtume wa Mungu na dini zote hizo huitwa imani za ki Abraham
Kuna stori iliyoko kwenye maandiko mbalimbali inayo sema Mungu ali weka ahadi na Abraham kuwa ata mfanya baba wa watu wengi na Abraham ana takiwa amtoe mtoto wake sadaka kwa Mungu yet Abraham alikubari japo Mwenyez Mungu ali Mnusuru

Wakati wakristo na wayahudi wakidai mtoto huyo ni Isaka waislam wao huamini ni mtoto mwingine wa Abraham ambaye ni Ishmael, na wao hufuata uzao wa Ishmael wakat wakristo hufuata uzao wa Isaka katima kusoma koo za mitume

Ila hiyo stori uwaga si iamini kweli
 
Cc shululu
 
Hilter Kiboko kwakweli
 
Tuseme hiyo ndio picha yake
 
Thanks mkuu
 

Giant
..... ..
 
Kwa nini huwa huamini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…