Kitambo sana sijamsikia huyu mtuLeo katika Historia:
1981 - Djibril Cisse anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Liverpool na Ufaransa.
Aliwahi kuvunjika mguu wake vibaya sana lakini akapona na kurudi tena Uwanjani.
Pia anasifika kwa kujichora tattoo za kutosha mwilini.
Mtukutu, kwenye mashindano ya mataifa ya ulaya wakati yanafanyikia Ukraine alikuwa na vituko sanaLeo katika Historia:
1990 - Mario Balotelli anazaliwa.
Ni straika wa zamani wa Inter Milan, Ac Milan, Man City na Liverpool pamoja na timu ya taifa ya Italy.
Ni mwanasoka asiyeishiwa vituko.
Hongera sanaView attachment 380050View attachment 380051View attachment 380052
Mimi ndo kapuku wa kwanza kutumia computer
.........
Leo katika Historia:
1954 - Francois Hollande anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa 24 wa Ufaransa.
Balotel cha matusiLeo katika Historia:
1990 - Mario Balotelli anazaliwa.
Ni straika wa zamani wa Inter Milan, Ac Milan, Man City na Liverpool pamoja na timu ya taifa ya Italy.
Ni mwanasoka asiyeishiwa vituko.
Morning ShululuMorning all kapuku
Dharau hizo
Kikofia la kuchungia NG'OMBE
...........
Ndiooo...Wa KF
Bahili km Mpare utafikiri pesa anatoa yy
Man wana Ibra yy Takuma
Man wana Mkhit yy Makoti
Man wana Pogba yy Coloqueen
..............
Haswa...imekula chumvi nyingi.Kampuni kongwe kabisa kwenye maswala ya teknolojia
Leo katika Historia:
1981 - Djibril Cisse anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Liverpool na Ufaransa.
Aliwahi kuvunjika mguu wake vibaya sana lakini akapona na kurudi tena Uwanjani.
Pia anasifika kwa kujichora tattoo za kutosha mwilini.
kweli mkuuu...View attachment 380044View attachment 380045View attachment 380046
Say NO to Racism ht JF
................
Weka pichaView attachment 380050View attachment 380051View attachment 380052
Mimi ndo kapuku wa kwanza kutumia computer
.........
Alaa sawa.Nafikiri mpaka sasa bado ni Rais wa Ufaransa
Huyu nae ana kipara lakini akili zimo.