Hahaha mutu ya kongo kwenye ubora wakoNiko Palii, Basi mutafute Bella Mwambie ule muzigo nimemutumia, simu yangu nimeisahau kwenye KLM
Hasala ni muloho tu, ukipoteza muloho ndyo bhas tena ila hela ni mumakalatasi tuMitu ya Congo mingi iko mupesa sana,
Vitu petit sana hii PapaaHahaha mutu ya kongo kwenye ubora wako
Huyo cuteb amekua hadimu kama sukari ya Magu ila lizzie yupo we mtag tu Th Name amleteWakuu cute b na lizziebettie wapo nimewamiss sana hawa
Usijali mkuu, lete uhondo..Wakuu habari zenu, leo nilikuwa bize kidogo saa hizi ndio napata nafasi.
So bila kupoteza muda Leo katika historia itawajia punde.
Watu wabaya sanaa[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34]Mukongo unanipeperushia ndege wangu hivihivi [emoji4][emoji4]
Bella yupo mujini mwanza, Leo anaenda FranceeNiko Palii, Basi mutafute Bella Mwambie ule muzigo nimemutumia, simu yangu nimeisahau kwenye KLM
Ndio nashangaa! Ila yule ni timu nanihii hivyo usimshangae sanaAchana na maneno ya werrason bana mi ngekwambia tu [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Ongeza kidogo salaryNatafuta msyaidhizyi wa ndani wa kyikye mushahala namupa euro efu mbili tu, ntapata???
We Dar umefika lini?? Si nasikia mmekimbia mji na kwenda dodoma??Nipo dar mutu yanghu, wewe ipo pale Kinshasa au kalemii?
Dodoma yupo briz, Sasa hivi anatafuna kuku na [emoji485] kwa mbali ikisindikizaWe Dar umefika lini?? Si nasikia mmekimbia mji na kwenda dodoma??
Aitume kabisa ankaliMimi nitapokea mahari [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hata wewe pia umeadimika sanaWakuu cute b na lizziebettie wapo nimewamiss sana hawa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] saiv ntakuwa mwingi hapaHata wewe pia umeadimika sana
Ni utani tu usishangae sana toka lini ndugu wakafunga ndoa??[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]