Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,266
NilikumissPouwa
NilikumissPouwa
HahahahaNimemwachia tu akijifungua ntalea mwanangu, sweetie analijua hili![]()
HahahaNajua hushindwi. Hii niliiweka hadharani toka uzi unaanza enzi hizo wanafukuzia Kina ibra, sizya nk sasa we usiniungishe binamu
Halafu zile wine mbona hazifiki jamani??
Basi we bado ni YangaNilikuwa yanga zamani, ila niliacha kushabikia tangu 2002, baada ya chibe chibindu kukosa penalty kwenye fainali ya Tasker
HahahaSisi wala hatuna haraka mpaka Actross ifike ama nene??
Nini mbaya mkuu?Hhm.. Bora nisikilize zenu tu, zangu zitawatoa machozi
![]()
![]()
![]()
![]()
HahahahaNilikuwa yanga zamani, ila niliacha kushabikia tangu 2002, baada ya chibe chibindu kukosa penalty kwenye fainali ya Tasker
Mkuuulaima atakuya kunitafuta
AbsolutelyHahaha
Real luv takes time
HahahaLeo analeta mwingine msikariri
Jaman u guys are so sweet...Hahaha
Real luv takes time
Daaah
Aliniudhi sana, huwezi amini sijawahi kwenda uwanja wa taifa baada ya hapoHahahaha
Chibe chibinduuuuu
Juz alikuja aka cheza mechi ya ma veterani asee
Uminikumbusha mbali
Szczesny hiyo gari kikwenu ni sawasawa na ng'ombe wawili,nimekurahisishia kabisa

Wimbo gan tenaHuo wimbo vip
Mambo tu yanaingiliana.. Pesa imekuwa messi kwangu.. Kila nikiifata nakula toboNini mbaya mkuu?
