Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Wala huhitaji msamahaSina la ziada, kwa leo tusameheane.
Late is better than never
Wala huhitaji msamahaSina la ziada, kwa leo tusameheane.
Pole na majukum mkuuSina la ziada, kwa leo tusameheane.
Leo katika Historia;
1960 - Ni siku ya Uhuru wa Chad.
miaPamoja mkuu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Aitume kabisa ankali
Mi mahari yangu ni [emoji116] [emoji116] [emoji116] niliitangaza hapa toka uzi unaanza View attachment 379777
[emoji23] [emoji56] [emoji32] [emoji23] [emoji23]
Leo katika Historia:
1972 - Jeshi la mwisho la Ardhini la Marekani laondoka huko Kusini mwa Vietnamna kuhitimisha kushindwa kwa Marekani katika vita hiyo iliyopigwa kwenye misitu minene.
Ok..Mkuu JJWala huhitaji msamaha
Late is better than never
Ahsante, pole na wewe pia.Pole na majukum mkuu
copy n pasteView attachment 379794View attachment 379795View attachment 379796
Wameiga bendera ya Ubelgiji
..........
Leo katika Historia:
2012 - Watu takribani 300 wanapoteza uhai mara baada ya kutokea kwa tetemeko la ardhi huko Tabriz, nchini Iran.
UbelejiView attachment 379794View attachment 379795View attachment 379796
Wameiga bendera ya Ubelgiji
..........
Leo katika Historia:
1943 - Jenerali Parvez Musharraf anazaliwa.
Ni Jenerali na Rais wa 10 wa nchi ya Pakistan.
Uchwara hasa, kisicho na kipimo
Haha kumbe!!Ndio nashangaa! Ila yule ni timu nanihii hivyo usimshangae sana
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Dodoma yupo briz, Sasa hivi anatafuna kuku na [emoji485] kwa mbali ikisindikiza
Ndo nilikua nashangaa hapaNi utani tu usishangae sana toka lini ndugu wakafunga ndoa??
Leo katika Historia:
1953 - Hulk Hogan anazaliwa.
Ni mwanamieleka toka nchini Marekani.
Subirini FIXSina la ziada, kwa leo tusameheane.