Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Hahahaha nahisi anajutia sasa hiviHahaha kuna jamaa mwingine huwa namuona ona sana kwenye movies alifanya surgery afanane na Brad pitt. Ila haiku succeed.
Hahahaha nahisi anajutia sasa hiviHahaha kuna jamaa mwingine huwa namuona ona sana kwenye movies alifanya surgery afanane na Brad pitt. Ila haiku succeed.
Yes, she isJaneth
Mrembo ni mrembo tu no matter what... Mi nawaona ni wazuri wote toka walipokuwa watotoSema plastic surgery. Ila ni mrembo
Ndio mrembo. Why plastic surgery?Mrembo ni mrembo tu no matter what... Mi nawaona ni wazuri wote toka walipokuwa watoto
Kawa mbayaaaView attachment 379555 Muone huyo naye alivyojiharibu...Lil Kim
Yupo kwenye movie inaitwa "10 rules forHahahaha nahisi anajutia sasa hivi


Kuna vitu alitaka kurekebisha, hakuridhika na alivyonavyoNdio mrembo. Why plastic surgery?
Ndo huyu
Hapo kwenye kutokuridhika kunawaponza wengi sanaKuna vitu alitaka kurekebisha, hakuridhika na alivyonavyo
Huyo inaitwa Self esteem...Hapo kwenye kutokuridhika kunawaponza wengi sana
Ni balaaHuyo inaitwa Self esteem...
Hela tu ndo inapelekea kufanya hayo yote.Hapo kwenye kutokuridhika kunawaponza wengi sana
Wala hawafananiYaah ati alitaka afanane na Pitt![]()
![]()
Salama, habari ya kupotea?Habarini family
Hela nayo ikizidi ni matatizo mda mwingine.Hela tu ndo inapelekea kufanya hayo yote.
Surgery ilifeliWala hawafanani