Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,295
Habari njema dada, kweli nimepotea, majukumu ya kazi dadake, mzima wewe!Salama, habari ya kupotea?
Habari njema dada, kweli nimepotea, majukumu ya kazi dadake, mzima wewe!Salama, habari ya kupotea?
Mzima sanaHabari njema dada, kweli nimepotea, majukumu ya kazi dadake, mzima wewe!
SanaaHela nayo ikizidi ni matatizo mda mwingine.
Ni njema sana mkuu, shughuli zinaendaje?Habarini family
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Huyu nae anataka kushindana kila kitu na nicki minaj, kamshindwa kwenye mziki kamfata kwenye ma-surgery... Anapotea sana huyo manziView attachment 379555 Muone huyo naye alivyojiharibu...Lil Kim
Hahahahahaha toka 1k - 80k zote zilimpita[emoji38] [emoji38] [emoji38]Haha umetisha sana, nlichokipenda ni mshkaji kutoa gundu
Hamia Dodoma without stress[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ila utakuwa bado wanachagua chama fulani wakati uchaguzi
Pesa mingi mingi ndo tatizo...Huyu nae anataka kushindana kila kitu na nicki minaj, kamshindwa kwenye mziki kamfata kwenye ma-surgery... Anapotea sana huyo manzi
Nimekubali sana huyo jamaa, ni mbunifu na atapata wateja tu [emoji4] [emoji4]Hamia Dodoma without stress
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Nation Of Blinds(NOB)Ila utakuwa bado wanachagua chama fulani wakati uchaguzi
I see, usingefanya hivyo ndo ingekua basi tena [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahahahahaha toka 1k - 80k zote zilimpita[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Viongozi matumboNimekubali sana huyo jamaa, ni mbunifu na atapata wateja tu [emoji4] [emoji4]