Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Sema plastic surgery. Ila ni mremboMrembo huyoo
Sema plastic surgery. Ila ni mremboMrembo huyoo
Pua tu lakini...familia nzima Wamefanya hiyo.Sema plastic surgery. Ila ni mrembo
Macho yako mabovu....hata kidoti chake fakePua tu lakini...familia nzima Wamefanya hiyo.
Ndio. Kuna wawili ndo wamejiharibu sana. Why plastic surgery?Pua tu lakini...familia nzima Wamefanya hiyo.
Sikuhizi ni kama fashion ku sharp pua, haswaa kwa American Celebrities...Hollywood na waimbaji wa kule LIL KIM ndo kawa mzungu kabisa sasa hiviPua tu lakini...familia nzima Wamefanya hiyo.
Na wanaghalimika sana kwa hizo surgery zao aiseeNdio. Kuna wawili ndo wamejiharibu sana. Why plastic surgery?
Kuna mmoja nimeona Picha yake ameharibika sura kawa kama bibiNa wanaghalimika sana kwa hizo surgery zao aisee
HahahaaKuna mmoja nimeona Picha yake ameharibika sura kawa kama bibi

Anatisha. Before plastic surgery alikuwa mzuri after hiyo surgery ngozi ya sura imekuwa mbovuHahahaa![]()
Mi nalia na Lil kim tuAnatisha. Before plastic surgery alikuwa mzuri after hiyo surgery ngozi ya sura imekuwa mbovu
Morning BrizMorning mpendwa..
Ndo basi tenaMi nalia na Lil kim tu
Kawa kama mchina. Kuna kijana mmoja wa kibrazil alifanya plastic surgery ili aonekane kama mkoreaView attachment 379555 Muone huyo naye alivyojiharibu...Lil Kim
Unaweza kuona dem wa mbele mkali anavutia ile mbayaaa...ila ulifuatilia kila kitu fake...na siku hizi wana fashion ya kuongeza makalio sasa hiyo ndio balaa hadi wakina Iggy Azalea wanayoNdo basi tena
KaribuAsante kwa magazeti naona chadema/lissu vs Magu ndo habari ya mjini bado
Hahaha kuna jamaa mwingine huwa namuona ona sana kwenye movies alifanya surgery afanane na Brad pitt. Ila haiku succeed.Kawa kama mchina. Kuna kijana mmoja wa kibrazil alifanya plastic surgery ili aonekane kama mkorea
Hata kama urembo na kuonekana una mzigo mkubwa ni ujinga kabisa.Unaweza kuona dem wa mbele mkali anavutia ile mbayaaa...ila ulifuatilia kila kitu fake...na siku hizi wana fashion ya kuongeza makalio sasa hiyo ndio balaa hadi wakina Iggy Azalea wanayo