Morning mpendwa..Morning all
Hongera sana, naona gundu limeyeyuka![]()
![]()
![]()
![]()
C ndo itakuwa ya kwanza hyo yetu
Mhh sio kwa pande hilo... Kweli wampenda huyu kijana
Si mwanamke tuu strong woman
Hahaha nmetoa mkosi
(Japo ndo kubebwa bebwa lakin ndo tayar tna)




nimecheka sana hapa, mbeleko katika ubora wakeHahaha mi ningeweza kukuachia ila Mussolin5 angekuepo pia ningepiga tu tiktakHahaha
Angekuepo mtu ka briz hvi au musso kwan wange acha hyoo
Asante kwa magazeti naona chadema/lissu vs Magu ndo habari ya mjini badoView attachment 379439View attachment 379440View attachment 379441
Na mpaka hapa basi sina la ziada kutoka katika katika meza ya magazeti, kumbuka tu yaliletwa kwenu kwa udhamini mkubwa kabisa wa post ya 81k kutoka kwa my binamu Szczesny
Niite Jimena Jimenes
Adios
Mrembo huyoo