briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Aug 10, 2016 #80,641 Sweetiepie said: Sijui wap au kwenye gar ya mwendokasi?? Click to expand... hii ya mwendo kasi ni mara ya pili, nlijikuta nimeshukia kituo cha mbele kwa kunogewa na mastory yako
Sweetiepie said: Sijui wap au kwenye gar ya mwendokasi?? Click to expand... hii ya mwendo kasi ni mara ya pili, nlijikuta nimeshukia kituo cha mbele kwa kunogewa na mastory yako
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Aug 10, 2016 #80,642 Jimena said: Wajinga ndio waliwao Click to expand... Na hii ndo maana halisi ya 'Mjini shule'
Szczesny JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 7,180 Reaction score 25,925 Aug 10, 2016 #80,643 Jimena said: Nao waliyataka, kwanini watu ni wepesi sana kuamini mtu Click to expand... Jimena wangu .sikilza wimbo wa harmonize matatizo Kila kitu watu wana fanya kwa kuwa wana tafuta solution ya mattzo, wengi walikuwa wana taka kupata watt
Jimena said: Nao waliyataka, kwanini watu ni wepesi sana kuamini mtu Click to expand... Jimena wangu .sikilza wimbo wa harmonize matatizo Kila kitu watu wana fanya kwa kuwa wana tafuta solution ya mattzo, wengi walikuwa wana taka kupata watt
Szczesny JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 7,180 Reaction score 25,925 Aug 10, 2016 #80,644 Jimena said: Labda sayari nyingine kabisa Click to expand... Wanakuwa wame wa fix tuu
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Aug 10, 2016 #80,645 Jimena said: Stering ni Amitah Bachan Click to expand... Hahaha picha la kihindi hasa maana stering anakufa katikati ya movie
Jimena said: Stering ni Amitah Bachan Click to expand... Hahaha picha la kihindi hasa maana stering anakufa katikati ya movie
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Aug 10, 2016 #80,646 briz said: hii ya mwendo kasi ni mara ya pili, nlijikuta nimeshukia kituo cha mbele kwa kunogewa na mastory yako Click to expand... Hahahaha
briz said: hii ya mwendo kasi ni mara ya pili, nlijikuta nimeshukia kituo cha mbele kwa kunogewa na mastory yako Click to expand... Hahahaha
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Aug 10, 2016 #80,647 Szczesny said: Jimena wangu .sikilza wimbo wa harmonize matatizo Kila kitu watu wana fanya kwa kuwa wana tafuta solution ya mattzo, wengi walikuwa wana taka kupata watt Click to expand... Uko sahihi, matatizo yanaweza yakakufanya mpaka uwajue kina karumanzila
Szczesny said: Jimena wangu .sikilza wimbo wa harmonize matatizo Kila kitu watu wana fanya kwa kuwa wana tafuta solution ya mattzo, wengi walikuwa wana taka kupata watt Click to expand... Uko sahihi, matatizo yanaweza yakakufanya mpaka uwajue kina karumanzila
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Aug 10, 2016 #80,648 briz said: Nafikiri nishawah kukuona pale mitaa ya kati , karibu makapukuni Click to expand... Asante...nshakaribia
briz said: Nafikiri nishawah kukuona pale mitaa ya kati , karibu makapukuni Click to expand... Asante...nshakaribia
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 10, 2016 #80,649 briz said: Mi niko poa kabisa, hivi tushawah onana wap vilee??? Click to expand... Nakuona Briz Bristol katika ubora wako
briz said: Mi niko poa kabisa, hivi tushawah onana wap vilee??? Click to expand... Nakuona Briz Bristol katika ubora wako
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 10, 2016 #80,650 briz said: Na hii ndo maana halisi ya 'Mjini shule' Click to expand... Hakika
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 10, 2016 #80,651 Szczesny said: Jimena wangu .sikilza wimbo wa harmonize matatizo Kila kitu watu wana fanya kwa kuwa wana tafuta solution ya mattzo, wengi walikuwa wana taka kupata watt Click to expand... Tatizo sio hilo,ila hata tuna matatizo ni lazima tuangalie wapi pa kupatia suluhisho. Kuwa na tatizo sio sababu ya mtu kutapeliwa. Mi sijui kwanini tu ila yule jamaa sijawahi kumuamini
Szczesny said: Jimena wangu .sikilza wimbo wa harmonize matatizo Kila kitu watu wana fanya kwa kuwa wana tafuta solution ya mattzo, wengi walikuwa wana taka kupata watt Click to expand... Tatizo sio hilo,ila hata tuna matatizo ni lazima tuangalie wapi pa kupatia suluhisho. Kuwa na tatizo sio sababu ya mtu kutapeliwa. Mi sijui kwanini tu ila yule jamaa sijawahi kumuamini
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 10, 2016 #80,652 Szczesny said: Wanakuwa wame wa fix tuu Click to expand... Ndio maana yake
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 10, 2016 #80,653 briz said: Hahaha picha la kihindi hasa maana stering anakufa katikati ya movie Click to expand... Kabisa
briz said: Hahaha picha la kihindi hasa maana stering anakufa katikati ya movie Click to expand... Kabisa
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Aug 10, 2016 #80,654 Sweetiepie said: Hahahaha Click to expand... Nimefurahi tumekutana tena hapa
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Aug 10, 2016 #80,655 Sweetiepie said: Asante...nshakaribia Click to expand... Pamoja sana
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Aug 10, 2016 #80,656 Jimena said: Nakuona Briz Bristol katika ubora wako Click to expand... Huyu mrembo kumbe tushawah kuonana ndani ya daladala, ndo nimemkumbuka leo baada ya kumuona tena hapa
Jimena said: Nakuona Briz Bristol katika ubora wako Click to expand... Huyu mrembo kumbe tushawah kuonana ndani ya daladala, ndo nimemkumbuka leo baada ya kumuona tena hapa
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 10, 2016 #80,657 briz said: Huyu mrembo kumbe tushawah kuonana ndani ya daladala, ndo nimemkumbuka leo baada ya kumuona tena hapa Click to expand... Safi sanaa..... Sasa dumisheni undugu wenu
briz said: Huyu mrembo kumbe tushawah kuonana ndani ya daladala, ndo nimemkumbuka leo baada ya kumuona tena hapa Click to expand... Safi sanaa..... Sasa dumisheni undugu wenu
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Aug 10, 2016 #80,658 Jimena said: Safi sanaa..... Sasa dumisheni undugu wenu Click to expand... Cc sweetiepie
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 10, 2016 #80,659 briz said: Haha ni majukumu yalikua mengi tu wangu afu kule kwenu dizain network haijatulia Click to expand... Du pole sana, sikujua kuwa net kule ni majanga
briz said: Haha ni majukumu yalikua mengi tu wangu afu kule kwenu dizain network haijatulia Click to expand... Du pole sana, sikujua kuwa net kule ni majanga
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Aug 10, 2016 #80,660 briz said: Nimefurahi tumekutana tena hapa Click to expand... Muumba wa vyote anakuona Briz...