Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Hamna mkuu ni kupenda tuuuAisee we jamaa una wivu wa mwendokasi
"Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli" by lady jay dee
Hamna mkuu ni kupenda tuuuAisee we jamaa una wivu wa mwendokasi
Hahahakigwangala ye kazi yake kumkagua mtu mmoja tu (mwaka)
Ni kweli kabisa lakin wivu ukizidi kipimo ni mateso tu nduguHamna mkuu ni kupenda tuuu
"Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli" by lady jay dee
HaaaNi kweli kabisa lakin wivu ukizidi kipimo ni mateso tu ndugu
Nipo tu...... Niaje?![]()
![]()
![]()
Ulichepukia wap!!?
Mambo vipi?Aisee we jamaa una wivu wa mwendokasi
Hahaha sina kipimo kizuri kama reference lakin si unajua tena kabila lako, uwe na kiasi kwenye wivu bana si bado tunakupenda ndugu yetuHaaa
Kwa hyo wangu umizidi!!?
Fresh tu ndugu, za toka majuzi?Mambo vipi?
Wanasema bila wivu hakuna mapenziHaaa
Kwa hyo wangu umizidi!!?
Eti jimena wanguNipo tu...... Niaje?
Hamna mkuu napenda kuchukua tahadhariHahaha sina kipimo kizuri kama reference lakin si unajua tena kabila lako, uwe na kiasi kwenye wivu bana si bado tunakupenda ndugu yetu
Safi, uliadimika sana siku mbili hizi..... Au ndio mambo ya supu ya Sato?Fresh tu ndugu, za toka majuzi?
Hamna mkuu napenda kuchukua tahadhari
Bora kinga kuliko tiba




unakinga nini kwani??Kwa ufupi yule jamaa ni kichomiHahaha
Juma ana wasumbua sana inabid wamdhibit kwa kweli
Hapana ni wasiwasi wake tu BrizEti jimena wangu
Mi nimezidsha wivu!!?
Tapeli mkubwaaaKwa ufupi yule jamaa ni kichomi
Haha ni majukumu yalikua mengi tu wangu afu kule kwenu dizain network haijatuliaSafi, uliadimika sana siku mbili hizi..... Au ndio mambo ya supu ya Sato?
Hahahaha
Nakinga watu kama wewe, kiba man fongo![]()
![]()



mbona mi sina madhara kabisa, kwanini upate tabu?Mjini ukiwa msanii wa magonjwa ya uzazi na nguvu za kiume kama yule jamaa umilionea lazima ukujie wallahTapeli mkubwaaa
Ila anajua kucgeza na sheria kweli
