Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,937
Umiamkadje???Umeamkaje sio umiamkaje...nimeamka salama sijui wewe
Umiamkadje???Umeamkaje sio umiamkaje...nimeamka salama sijui wewe
Abiria chunga mzigou wako.Sjui kenda wap!!!!
Maana haja niaga ata
Kahama nlishaondoka kitambo mkuu niko tabora hapa sa ivi nahisi kesho nnaweza nkaenda pande za kule kwenuHahahaha
Poa mkuu
Abar ya kahama
AnhaaaKahama nlishaondoka kitambo mkuu niko tabora hapa sa ivi nahisi kesho nnaweza nkaenda pande za kule kwenu
HahahaAbiria chunga mzigou wako.
Mh!!! We ni waziri nini???Kahama nlishaondoka kitambo mkuu niko tabora hapa sa ivi nahisi kesho nnaweza nkaenda pande za kule kwenu
I miss you too, J. J hajambo?Anhaaa
Sawa bhana tume ku miss huku
Kwanini mkuu?Mh!!! We ni waziri nini???
Teh tehNgoja teacher wa kujitolea aje kurekebisha![]()
![]()
Unakagua miradi ya maendeleo.Kwanini mkuu?
MzimaI miss you too, J. J hajambo?
HahahaUnakagua miradi ya maendeleo.
Hahaha hapana mkuu, kazi zangu ni tangible sio kukagua mi naingia field kabisaUnakagua miradi ya maendeleo.
Aisee we jamaa una wivu wa mwendokasiMzima
Ila ametoka ghafla bila kuaga
Cjui kenda kichepuka!!
Hahaha
Inaezekana uyu ni kigwangala





kigwangala ye kazi yake kumkagua mtu mmoja tu (mwaka)