shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
HiMorning Kapukuz wenzangu
HiMorning Kapukuz wenzangu
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Ahsante mkuuView attachment 378847View attachment 378848
Na mpaka hapo basi sina la ziada. Kumbuka ni kwa udhamini mkubwa kabisa wa Pogba..... GGMU
Mpaka wakati mwingine tutakapokutana tena niite Jimena Jimenes
Bye bye
Jembe hiloLeo katika Historia:
1971 - Roy Keane anazaliwa.
Mchezaji na Nahodha wa zamani wa Man Utd.
Jembe jingneLeo katika Historia:
1973 - Javier Zanetti anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Inter Milan na Timu ya Taifa ya Argentina.
Good mkuiSina la ziada, tukutane kesho kwa udhamini mnono wa Pogba.
Byeee
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Bebi wako anethoma!!! [emoji4]
Mornin umiamkaje!!?Morning Kapukuz wenzangu
Mkuu
Umeamkaje sio umiamkaje...nimeamka salama sijui weweMornin umiamkaje!!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja aje ajibu mwenyewe.[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Nashangaa hanipongezi nme umiza kichwa apo
HahahaUmeamkaje sio umiamkaje...nimeamka salama sijui wewe
Sjui kenda wap!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja aje ajibu mwenyewe.
Yapo poa ....Niko bize pande za relini kwenye malori napiga deiwakaMkuu
Mambo ya [emoji598] vipi huko!!?
HahahaYapo poa ....Niko bize pande za relini kwenye malori napiga deiwaka
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
...........
Its already noon, hujambo sweetie?Morning Kapukuz wenzangu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kijana machachari, niaje?[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Nashangaa hanipongezi nme umiza kichwa apo
Hahahaha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kijana machachari, niaje?