makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,932
- 104,258
Nidhamu yake ni ya kiwango cha juu.. Kiongozi mzur uwanjani.Nilipenda nidhamu yake.
Nidhamu yake ni ya kiwango cha juu.. Kiongozi mzur uwanjani.Nilipenda nidhamu yake.
Siku hizi kumejaa masharobaro katikati ya dimbaIlikuwa battle ya kiutu uzima.
I miss the old days!!
Wenyewe wanajitia udambwi dambwi na macho ya pasi.. Wamesahau mpira ni kazi, mpira nmchezo wa kiume, mpira ndani ya dk 90 ni vita urafk baada ya game kuisha, wametuharbia uhondobhawa kizaz kipya.Siku hizi kumejaa masharobaro katikati ya dimba
![]()
![]()
![]()
.........
Viungo uchwaraWenyewe wanajitia udambwi dambwi na macho ya pasi.. Wamesahau mpira ni kazi, mpira nmchezo wa kiume, mpira ndani ya dk 90 ni vita urafk baada ya game kuisha, wametuharbia uhondobhawa kizaz kipya.
Bebi wako anethoma!!!

Wimbo gani hauna hata vina achilia mbali mizaniBebi wako anethoma!!!![]()

....ni nani yule Vieira aliponunuliwa alikaririwa akisema amenunuliwa mchezaji mwenye miguu kama mbu lakini ana nguvu kama katapila???Dah.. Sidhan kama kutakuja kuwepo na battle kama ile.. Viungo wenyewe hawa laini laini..

National AnthemWimbo gani hauna hata vina achilia mbali mizani![]()
Nlikuwa busy sana jana.. ila embu nenda kwanza kajipoze na riwaya ya Danny kwanza alafu badae nakuja kuimalizia ile riwaya yoteNimekununia![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Jana mbona hukuonekana sasa kutuwekea Riwaya?