Tofauti kati ya mwanaume na mwanamke ni Jinsia tu vilivyobaki vinaweza kuwepo kwa yoyote yuleMwanya ht wanaume tunao
..........
Kande na maparachichiUmeshiba kande ww
Sio kosa lako
...........
Na chanika jeKwa sasa yuko Mbagala Maji Matitu
Jonax leo umeamuaYuko bomba sanaaa, Bitoz macho yake yamezoea kuona kudwi tu. Hajazoea kuona vishkwambi
Je kama hapendi mwanyaMi pia nimeona ajabu kwakweli....
Mtoto ana macho kama anasinzia na akicheka ana mwaya
Aseme tu lakini sio kusema kuwa mbaya bila kuonyesha ubaya wakeJe kama hapendi mwanya
Tofauti kati ya mwanaume na mwanamke ni Jinsia tu vilivyobaki vinaweza kuwepo kwa yoyote yule
Swali ni je vimepangika vizuri???
Thanks mpaka wakt mwengne nautafuta waraka wa lema kwa magufuli hapaView attachment 378248View attachment 378249
Mpaka hapo basi sina la ziada...
Shukrani kwa Makapuku Forum ambao ndio waliosababisha asubuhi hii ya Leo
Naitwa Jimena Jimenes
Asanteni na kwaherini
Nixon baada ya kusoma historia yake ni moja ya watu nnao wakubali lakin ni moja ya binadamu wenye mioyo yenye nguvu pia kywah tokeaView attachment 378263View attachment 378264View attachment 378265
Only in America and Europe
..........
NaamJamaa yule wa Korea ana roho ngumu sana uso wake na matendo yake haviendani kabisa
Aaah ataanza na wewe!! mi simooNaam
Na mie nna mpenda sana yule jamaa
I hope ntaonana naye
Huyu jamaa alikuwa moja ya binadam wenye baht mbaya dunianiView attachment 378287View attachment 378288View attachment 378289
Samtaimu Mungu hatendi haki
........
Mko salama huko kaka
Natumai nyie wotee wazimaMorning
Acha kumsema role model wanguHata uso wake pia haulipi, rais gani ana panki utadhani Shaba Ranks??
Cc; bitozAseme tu lakini sio kusema kuwa mbaya bila kuonyesha ubaya wake
Ni mbaya jamanView attachment 378330View attachment 378331View attachment 378332View attachment 378333
Uzuri wa mtu uko machoni pa mtazamaji lakini, na kiukweli mi Bobbi Kristina sikuwahi kuuona ubaya wake
Now ni poa zaidJe sasa