HahahaaLeo katika Historia:
Ni miezi Minne ya Kapuku Forum.
Leo ni siku yetu hivyo hatuna budi kutamba kwa mbwembwe zote.
Mimi nlijuaga lina mwaka hili groupSina la ziada, kwa udhamini mnono wa Miezi minne ya Makapuku, tukutane kesho.
Bye!!
Kama ni nje ya hapa usi anzishe najua hapa tungeweza ku make arguements without making enemies +napenda ku argue na mtu nnaye mfahamuWorry not
Na hisi kama tuna punguza umri hivi ni zaid ya hiyo hahahaaaMorning all
Magazeti ya leo yanawajia kwa udhamini mkubwa wa miezi 4 ya Makapuku Forum
Hahahaa
Waanzilishi wengi walisha tangulia mbele za haki (yaan hawapo)
Tuna wakumbuka
Kwa sasa yuko Mbagala Maji MatituJe sasa
Basi tutaongea hapa hapa kidogo kidogo siku hadi siku mpaka tutakapofikia muafaka,Kama ni nje ya hapa usi anzishe najua hapa tungeweza ku make arguements without making enemies +napenda ku argue na mtu nnaye mfahamu
It is not about converting each other kupeana mawazo tyuu
Hehehehe ndio hiyo hiyo lakini utadhani tuna miaka 20Na hisi kama tuna punguza umri hivi ni zaid ya hiyo hahahaaa
Binti hakuwa nzuri kivile..umechemka
........
Yuko bomba sanaaa, Bitoz macho yake yamezoea kuona kudwi tu. Hajazoea kuona vishkwambiView attachment 378330View attachment 378331View attachment 378332View attachment 378333
Uzuri wa mtu uko machoni pa mtazamaji lakini, na kiukweli mi Bobbi Kristina sikuwahi kuuona ubaya wake
Tushazoea huo usemi unafumika hadi kudefend vichwa ndonga,machogo,matege n.kView attachment 378330View attachment 378331View attachment 378332View attachment 378333
Uzuri wa mtu uko machoni pa mtazamaji lakini, na kiukweli mi Bobbi Kristina sikuwahi kuuona ubaya wake
Fix hizo BrazaNilialikwa Washington kwenye sherehe ya kuapishwa Ford, Nixon alikuwa rafki yangu sana
Leo umekunywa uji unazinguaMazishi yake nlihudhuria
Alikuwa bonge ya singer
RIP
Uchuro huoHahahaa
Waanzilishi wengi walisha tangulia mbele za haki (yaan hawapo)
Tuna wakumbuka
Hapo bado hujaonyesha ubaya wa huyo binti Bali umeleta hadithi tu.Tushazoea huo usemi inafumika hadi kuderend vichwa ndonga,machogo,matege n.k
..........
Yuko bomba sanaaa, Bitoz macho yake yamezoea kuona kudwi tu. Hajazoea kuona vishkwambi
Mi pia nimeona ajabu kwakweli....Yuko bomba sanaaa, Bitoz macho yake yamezoea kuona kudwi tu. Hajazoea kuona vishkwambi
Umeshiba kande wwHapo bado hujaonyesha ubaya wa huyo binti Bali umeleta hadithi tu.
Halafu punguza kuchapia mweee
Mwanya ht wanaume tunaoMi pia nimeona ajabu kwakweli....
Mtoto ana macho kama anasinzia na akicheka ana mwaya