Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Worry notAnzisha thread kule alfu hapa leta link bhass.
Then sisi tutakuja huko.
Unajua maswala ya kiimani ni mapana sanaa. Hvyo hapa wala tusizungumzie imani kabisa ili ku-avoid migongano ya sisi wenyewe kwa wenyewe
Kazi ipoView attachment 378186 walimu mpo
LolHii inaitwa namba nane kipeuo
DuuhLeo katika Historia:
1945 - Bomu la pili atomiki larushwa huko Nagasaki nchini Japan na kuua watu takribani 35,000.
Bomu hili lililojulikana kama " Fat man " baada ya lile la kwanza la August 6 lililojulikana kama " Little boy "
Wataalamu wa mambo wanasema bomu hili ndilo lililomaliza vita kuu ya pili ya Dunia.
Madhara ya bomu hilo yanaitesa Japan na watu wake mpaka leo.
Huyu mama alikuwa anajua sana jamani, na mpaka Leo ngoma zake bado tamu vile vileLeo katika Historia:
1962 - Whitney Houston anazaliwa.
Mwimbaji mashuhuri wa muziki nchini Marekani.
Alifariki mwaka 2012.
Happy birthday to usLeo katika Historia:
Ni miezi Minne ya Kapuku Forum.
Leo ni siku yetu hivyo hatuna budi kutamba kwa mbwembwe zote.
Shukrani sana mkuuSina la ziada, kwa udhamini mnono wa Miezi minne ya Makapuku, tukutane kesho.
Bye!!