Makapuku Forum

Hayo maneno ya kujipa natumaini namna hiyo tumeshayazungumza sana lakini hatujawahi kufanikiwa.

Mussolin5 ni mchawi. Period
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Usiwaze mkuu, ubabe wake utafika kikomo hapo.. Niko na fundi mmoja huyo babu wa kipemba, kutoka bwimbwini huko.. Tutamzima tuu, kibabu kikikohoa tu, cr7 anageuka giroud.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…