Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
We hushiriki?Mashahidi tupo
We hushiriki?Mashahidi tupo
ComradeA k a Likofia likubwa
![]()
![]()
![]()
![]()

Ngoja nikupe baraka.Usiseme watu, sema mtu na bahati zako..
Mkuu unanyota kali.. Kesho niazime nikabetie hata kamkeka kamilion twenti tuu.
Chapa mwendo kama IbrahmovicMuda si mrefu
LolLa kimaskini
![]()
![]()
![]()
...........
Tuvute subiraMimi kama Upepo sishikiki
Ukipata usinisahauUsiseme watu, sema mtu na bahati zako..
Mkuu unanyota kali.. Kesho niazime nikabetie hata kamkeka kamilion twenti tuu.
Vikapuku vilivyovimba vichwa vinazidi kuporomokaApost sasa sio anazembea
Mimi nilikuambia wewe huweziNina mashaka na ww, huenda ukawa ni Prophet
Sana sasa tutamsaidiaje?Huruma anatia huruma...
YapComrade![]()
Akipata alete 10%Ngoja nikupe baraka.
Nenda...jiamni...amini katika wazo la kwanza linalokujia kuhusu timu flani.
Watatoka tu muda si mrefuAmtoe Ngedere hadi Kichumvi
![]()
![]()
![]()
........
Embu ngoja nisikilozie mpk 100k nione nachukua uamuzi ganiHahahaha
Mwenzio nli sha jitoa
Na kuthibitsha sna baht hata le nimepga 999 hahah