Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Habari kwa ufupiHivi sasa ni Saa 5 kamili usiku.
Habari kwa ufupiHivi sasa ni Saa 5 kamili usiku.
yap..huondio utaratibu.Akipata alete 10%
Watu na bahati zaoWe hushiriki?
Ila wanatakiwa waingie Makapuku 4 mule ili kudhibiti orodhaVikapuku vilivyovimba vichwa vinazidi kuporomoka
![]()
![]()
![]()
........
Akaoge maji ya bahari.Sana sasa tutamsaidiaje?
Kama Sanchez mara gooooooooo hhhooooooChapa mwendo kama Ibrahmovic
Sasa mwambie ataweza ya 81k ili apateMimi nilikuambia wewe huwezi
Toka hapa TBC Taifa.Habari kwa ufupi
Dalili za kukata tamaaEmbu ngoja nisikilozie mpk 100k nione nachukua uamuzi gani
Usiseme watu, sema mtu na bahati zako..
Mkuu unanyota kali.. Kesho niazime nikabetie hata kamkeka kamilion twenti tuu.
Ila usiwe wa kujinyongaEmbu ngoja nisikilozie mpk 100k nione nachukua uamuzi gani
Huwa mm vita yangu ni ya maneno.
80k, hongera baba la babaMuda ndio huo
Walio wengi wakipata huwa wanasahauUkipata usinisahau
Ndio maana yake.Watu na bahati zao
Yetu machoAkipata alete 10%
Kesho Ntaanza kumpeleka beachAkaoge maji ya bahari.
Uwanja wa fisi ni saa1 jioniHabari kwa ufupi
Asante!! Ni utaratibu wangu tuu80k, hongera baba la baba