Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,249
ndio nilienda ila ni San Fransisco ya Kitunda relini.Hahahaha
Wewe nime kusoma kweli ulenda
Sio kuzuri kihiiivyo ila napapenda
Walatino wana raha yake
Ile lugha yao (spanish) nayo ni tamu sana
Pia napenda ule utamaduni wao, vile ukigonbana na bebi wako anakuletea bendi sa nyingine na yeye anavaa yale makofia yao .... Kisha wanakumbia mpaka unasamehe
Unatoka nje yanaisha
Alikiwa anakikuza.
HahahaWeka picha
Ubabe wa yule dogo mi siuweziKaribu Piongyang. Huku ni marufuku kuvaa jeans wala kunyoa panki.
Tokyo zipo sehemu nyingi
We mwenyewe umejua tuta bisha tuu
Basi sawaMi ndo nakwambia sasa
Sio ya kigamboniIla ni hii San Fransisco ya Kitunda.
Mkamia maji hayanywi.Safi likofia likubwa..
Naona unaendeleza ule uchawi wako wa kitupia post muhimu mara kwa mara.
But hongera kwa kutupia post ya 70k tukutane kwenye 80k maana nitaiwania
Halafu naomba siku utuwekee majiji makali zaidi dunianiAaa
Nikileta vitu mbavo vijua sasa hiyo itakuwa si top 10
Suprise ndo kama hzo
hahaha...kitu pekee ninachopenda toka Dom ni Dodoma wine.Nilicheka sana wakati nipo Dodoma, Jamaa yangu akawa anasema kisasa itakuwa masaki ya Dodoma
Cc; Szczesny
Licha ya bara lao kuwa kubwa na kuonekana wanazaana sana lakini sisi Africa tumewazidi kwa wingi wa watu.Wapitishieni elimu ya uzazi wa mpango mwe!! Maana rekodi yao inatisha
Siwezi hataUsije ukabadili username
..........