Makapuku Forum

Mmmh hizi sasa ni fix
Hivi jamani kati ya Man United na Arsenal nani alikuwa wa ovyo zaidi kipindi kilichopita? Maana kwa kumbukumbu zangu ni 2004 ndio mara ya mwisho kwa vijana na wenger kutwa ubingwa wa maana
Msimu uliopita ulishika no ngapi, mwaka juzi je?

Matangazo ya TV kwenye mechi za man yalishuka sana msimu uliopita
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…