Makapuku Forum

Makapuku Forum

1470603983786.jpg
 
Baba yetu uliye Mbinguni, jina lako litukuzwe, ufalme wako uje
Mapenzi yako yatimizwe
Duniani kama huko mbinguni
Utupe leo riziki yetu
Utusamehe makosa yetu kama nasi tuwasemehevyo waliotukosea
Uditutie majaribuni
Bali utulinde na yule mwovu
Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu hata milele,
Amen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom