Ahaaa kumbe bado hujajua?
Iko hivi;
1) jimena...magazeti
2)musolin5...leo ktka historia
3)shululu....nukuuu ya leo
4)quigley....je wajua?...amesimama kwa muda
5)bitoz...fix, na michezo
Jamani hahaha hamna wewe umesema!!...ila napenda tu mtu ukiwa na hobby maalum...mfno kama hvyo wewe mpira, Mimi Netball, vitabu, nyimbo na movie. Ni vizuri kuwa na Hobby
Ahaaa kumbe bado hujajua?
Iko hivi;
1) jimena...magazeti
2)musolin5...leo ktka historia
3)shululu....nukuuu ya leo
4)quigley....je wajua?...amesimama kwa muda
5)bitoz...fix, na michezo