Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Pita![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
napita

Hiiii
Nilikumiss sana
za kupotea!!?

Sawa mkuu
![]()
![]()
![]()
![]()
veeveNeaelekea wembleyveeve
Poa, bet nikupime.Neaelekea wembley
Now
Yani acha tu nilikumiss pia ...kuna mambo mambo tu kidogo yalinikeep busy...sista anaumwaHiiii
Nilikumiss sana
za kupotea!!?


Haaaa... Post na 66666 ilikuwa yakwangu, sijui post 77777 Kai chukua nani... Hii ni recordBado 78k tumebakiza kama post 80 tuikute
Ahsante kwa kunimiss piaYani acha tu nilikumiss pia ...kuna mambo mambo tu kidogo yalinikeep busy...sista anaumwa![]()
We mgeni unapendwa hadi bathi, usipotee tena bhana mwayaYani acha tu nilikumiss pia ...kuna mambo mambo tu kidogo yalinikeep busy...sista anaumwa![]()
Anajisikia maumivu kwenye uti wa mgongo kesho ndio tunaenda akachekiwe kipimo cha mwisho hospital ili tatizo lifahamike.Ahsante kwa kunimiss pia
Poleee, amepumzishwa Hospital!!?
Wew ni mjumbe wa lucifer!!!Haaaa... Post na 66666 ilikuwa yakwangu, sijui post 77777 Kai chukua nani... Hii ni record

Jamani...kweli Quigley? nafurahi kusikia hivyoWe mgeni unapendwa hadi bathi, usipotee tena bhana mwaya


Werrason ni kibabu kisicho na meno achana nacho mremboKiaje sasa...dadavua
Lakini hawanizidi mimi...nakupenda zaidiJamani...kweli Quigley? nafurahi kusikia hivyo![]()
