Makapuku Forum

Makapuku Forum

Shukrani nyingi kwa founder kwa kukubali kubadilisha...intro ya uzi huu. Mmeutendea haki ushauri wangu.
 
1470400619775.jpg
 
Japo uzushi

............................
Tatizo umeandika posts nyingi sana nina wasi wasi kama unarejea zote za uliyoyaandika,
Mwanzoni uzi huu ulikuwa na intro ya maneno yaliyoko kwenye link hiyo hapo chini ambayo alikunukuu Retired Mp (Bonyeza click expand kuyasoma yote)

Makapuku Forum
--------------------------------------------
Baada ya kusoma utangulizi/intro huo niliwashauri mfungue uzi mwingine kwenye jukwaa la malalamiko. Pia nilitaadharisha wazoefu wa JF kuwa wabadili uandishi wao ili kuepusha kuanzishwa Makapuku forums inayolenga kuwavuta 'wanaodharauliwa' hapa jukwaani angalia link hii hapa chini.

Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

========================================================
Imebadilishwaje?

Nadhani umepata majibu.
 
Ooh thanks kwa ufafanuzi huo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom