Makapuku Forum

Number 1, Robert Mugabe, Zimbabwe ana miaka 92 kawa kiongozi kwa zaid ya miaka 35 na hata onana na wapuga kura hadi 2018,
Kiongozi huyu ana julikana kwa quites mbali mbali za kijamii, kisiasa na hata za kuchekesha
Amejizolea umaarufu mkubwa kwa maneno yake na hekma zake hasa kwa vijana wa ki afrika....

Achen utani huyu naye mna mfaham, usinchose nskuchoshe huyu ndo Mugabe huyo huyo unaye mjua, kama humjui ka google
 
Vijana wanataka kumtoa madarakani kwa maandamano
 
Hilo jina ni kiboko, ni zaidi ya mwendokasi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…