Tena huwa wanaharibika mno na hupoteza mwonekano mzuri na kuwa babu. Hahahahaaaaa.....Lakin gongo ina chakaza sana mwili ujue
Hahahaha
Alaf wanywaj wenyewe huwaambii kitu hapo
Unamtafutia wapi huko tena?Hahahaha
Hamnaaa
Kuna namna hapaa ngoja nika mtafute

YaaanTena huwa wanaharibika mno na hupoteza mwonekano mzuri na kuwa babu. Hahahahaaaaa.....
Hahaha
Kuna sehem naenda kumchekUnamtafutia wapi huko tena?
![]()
![]()
![]()
MwelekezeHahahaha
Mwelekeze ki summary labda
Yaani ukiwa HAUNA MARINGO ndo rahisi kuwepo ukapukuniAlaf mmenikumbusha nlivokuwa naanza kuingia hapa hata sku somaga zile post 1-3
Ila nliusoma mchezo haraka kweli
Daaah ilikuwa hatari
Karibu hii si forum tuu ni kama family tuna peana sapot, story na habar mbali mbali
HahahaYaani ukiwa HAUNA MARINGO ndo rahisi kuwepo ukapukuni
![]()
![]()
![]()
.............
Ukiwa unajisika km yule peteruchoke ukapuku unakuwa mgumuHahaha
Hilo ndo likinifanya nkaepo hapa pia
HahahaUkiwa unajisika km yule peteruchoke ukapuku unakuwa mgumu
![]()
![]()
![]()
..............