Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Karibu sana!!Asante sana best... Yani hujawahi kuniangusha na kusema kweli nafurahi sana
Haya sasa uwanja ni wako...
Karibu sana!!Asante sana best... Yani hujawahi kuniangusha na kusema kweli nafurahi sana
Alitamba na Spurs.
Urafiki wa watuSijaelewa hapa, ni urafiki baina ya nchi na nchi sio?
hahaha...fainali yenyewe waliyomfunga Ujerumani iligubikwa na utata mkubwa sana!
Inabaki kuwa moja kati ya mechi tata katika Historia ya Kombe la Dunia kwani magoli mawili waliyofunga yalikuwa na utata, moja halikuvuka mstari na la pili lilifungwa wakati baadhi ya mashabiki walikuwa ndani ya uwanja.
Hivyo basi hiyo laana imeendelea kuwatafuna haswa.
Mi hilo Jukwaa napita kimyakimyaPolifix ni za kukaa nazo mbali sana! Imegharimu maisha ya wengi.
Alitamba sana mwingine ni David Ginola hao ni km Mungu pale White Hart LaneAlitamba na Spurs.
Nimerekebisha hapo ni kocha wa Marekani na sio timu ya taifa ya England.
Yaap ilikuwa 2010 World cup ambapo walilalamika sana na hatimaye tukaletewa goal line technologyView attachment 373266View attachment 373267.haipingiki mpira haukuvuka mstari
Nao wakalipizwa kwa goli la Frank Lampard kukataliwa world cup sijui 2010
............
Yap.Alitamba sana mwingine ni David Ginola hao ni km Mungu pale White Hart Lane
..............
Mungu mtu mwingine pale Spurs ni Paul Gascoine " Gazza "Alitamba sana mwingine ni David Ginola hao ni km Mungu pale White Hart Lane
..............
Yaap ilikuwa 2010 World cup ambapo walilalamika sana na hatimaye tukaletewa goal line technology
Nzuri kabisa, za kupoteaHabari zenu makapuku
View attachment 373263View attachment 373264View attachment 373265
Mpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini,
Usisahau kuwa magazeti haya yalikujia kwa hisani ya timu ya Taifa ya England na ubingwa wao wa pekee walioupata miaka 50 iliyopita[emoji3]
Niite Jimena Jimenes tukutane tena kesho na muwe na week end njema zaidi
hahaha...ahsante sana!!Timu mbovu kuliko zote kuwahi kutokea katika historia ya soccer
Na mkuki kwa Nguruwe...View attachment 373270View attachment 373271View attachment 373272View attachment 373273
Muosha huoshwa
Hao ndo waingereza full wanafiki
...............
Yap.
Ulishawahi kusiki Mkasa wa Ginola kwenye timu yake ya Taifa.
Ilikuwa ni mechi ya mwisho ya kufuzu Kuelekea world cup ya 1994 pale Marekani, Ufaransa aliihitaji droo tu afuzu, mpira ukielekea ukingoni Ginola akampasia adui wakaenda kufungwa na Ufaransa ikashindwa kufuzu.
Kocha wa wakati huo wa Ufaransa Gerald Houlier alimsakama sana Ginola hali iliyopelekea Ginola kukimbia nchini Ufaransa. Alipozidi kumsakama jamaa alienda mahakamani.