Makapuku Forum

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Guillotine

Hii ilikuwa kitu chenye ncha kali kama wembe lakini kikukvwa na cha chuma kina tumika

Mtu alikuea ana wekwa kwenye ubao ana lazwa na li jembe hilo lina achiwa kwa nguvu na kumkata kichwa , kiuno or what ever

Wana sema hii ilikuwa ni njia ya kumuua mtu kwa heshima kwan maumivu yalikuwa machache (siyo kwamba huumii una umia sana tena ila si sana kama njia nlizo tangulia kuonesha jana) na pia ilikuwa mtu ana kufa ndani ya dakika kadhaa hvo kwa watu walio waonea huruma kitu hiyo ilitumika

Maeneo kama ulaya , quing dynast na ancient Korean kingdoms (baekje,silla,Gugryeo etc) wali zitumia
 
+ Fix za Bitoz
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
.................
 
The Rack

Hii bwana iliwekwa ku dislocate joint zoote za mtuhumiwa , kwa hiyo mtu alifungwa mikono na miguu na watu walikuwa wakizi nyonga/wakizivuta/wakizizungusha mpaka waone maungio yote ya miguu na mikono yamehama na walikuwa ili kama kweli wame ku dislocate wana fanya kuhakikisha kwa ku nyonga kamba hadi miguu au mikono igeuke kabisa
 
 
Tongue Tearer

Hii ilikuwa ki toa ulimi, wali kuwa wana weka mashine inayo fungua mdomo kwa nguvu, halafu inaingizwa hii kitu kwa ulazima na ikisha kamata ulimi wana iforce kwa nguuvuu na wana ukoroga ulimi halafu wana ung'oa. Maumivu yake utasimulia hadi akhera nakwambia
 
 
Rat Torture

Kukaa na panya tuu jamani ni shida na kwa wale wenzangu walo wahi ku ng'atwa na panya wana jua anavo toboa

Sasa hapo walikuwa wana mchukua mtu wana mfungia kama ki jumba flan hivi kidogo maeneo ya tumbo (au sehem yyte watakayo amua) halafu walikuwa wana weka moto kwa juu ya hiko kijumba (mara nyingi cha bati) sasa ili panya akimbie huo moto ilitakiwa aazime njia kwa kumtoboa huyo mtu (kama vile ambapo huwa ana chimba shimo) hadi afanikiwe kutoka ili kukimbua huo moto
 
Nitarudi na nitapokea kijiti cha kukimbiza posts dadake, kwa sasa nko bize sana, natoka asubuhi sana na kazini nko bize sana, narudi late sana but next week ntaweza pata nafasi kiduchu.
Asanteni kwa kuendelea kuilitea kf heshima
 
The Chair of Torture

Au walikuwa wana kiita kiti cha Yuda kili tumika huko Europa mika ya 1500-1800 kiti hiko kili wekwa vyuma zai ya 500 na kili acgwa nafasi kwa ajili ya kuruhusu moto ulo kuwa ukiekwa chini ya kiti

Hii ilitumika kumuua mtu at least ili wale walo baki wa confess kitu kinacho hitajika
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…