Ntakuja ck moja, mwanza laifu simpo sanaaaa...naowaogopa watoto wa mbwa( machokoraa)Hahahaa... Usijali, wapo wa kutosha. Karibu kaka.
Hahaha unamfundisha kaziHili nalo ni janga.. Muheshimiwa inabidi aangalie namna ya kutumbua
Pole Mkuu.Nimepumzika si nilikwambia sipo sawa
...............
Nchi yetu imejaa vituko na inatubidi vituko tufanye kama moja ya kivutio kikuu Tanzania. Hahahahaa.....
Ntakuja ck moja, mwanza laifu simpo sanaaaa...naowaogopa watoto wa mbwa( machokoraa)
Hawa ni hatari sana.
Siku moja walimnyang'anya mzee wa kisukuma radio alokuwa asikiza mpira karibu na skio na kusepa nayo kuelekea ziwani.
Mzee kajifanya kuwafukuzia
Matokeo yako wakamvua viatu, suruali na shati wakakaingia ziwani ktkt kwa mtumbwi..mzeee alilia balaa
Maji yapi hayo? Maana hata kitu ya baa na yenyewe ni kimiminika cha maji.Leo hapana,
Maji tu
Mimi siwapendi hata kidogo watu wanaoingiaga na simu kanisani na kuziacha wazi simu zao.kuna Watu hawana staha
Hahaahaaaaa.....Hahaha itakua kupumzika hakuhusishi vidole
Yale ya kawaida kabisa ya kunywa ambayo hata kwenye tap unaweza kinga ukanywa (kama ni safi na salama lakini)Maji yapi hayo? Maana hata kitu ya baa na yenyewe ni kimiminika cha maji.
Ikoje hiyo tena?Hivi bado ipo ile forum ya kuitana majina kama shule?
Wanaboa kinomaMimi siwapendi hata kidogo watu wanaoingiaga na simu kanisani na kuziacha wazi simu zao.
Tupo mkuu, habari ya kuadimika? Leo hujaonekana kabisa hapaWakuu mpo?
Habari zenu?
Karibu sana mkuu, tupo tumejaa teleWakuu mpo?
Habari zenu?
Tembelea chitchat utaziona kuna wakongwe forum,Ikoje hiyo tena?
Kama pishi la mchele,Karibu sana mkuu, tupo tumejaa tele
Njema ndugu,Leo sikupata mda kidogo..ndio maana nmepita kutembeza upendo teleTupo mkuu, habari ya kuadimika? Leo hujaonekana kabisa hapa