FIX ZA BITOZ IV:
Papai = Mtu mnafiki
Kitwakoro=Mataputapu
Kulaza nzi= kukwepa ugomvi
Kungongota= kutongoza
Pwasha= Mtu anayejisikia/mwenye nyodo
Nasikia Ngedere ndo Pwasha maarufu wa Jf halafu anajifanya bingwa wa kungongota vishikwambi na vikudwi akilewa Kitwakoro
................