Asante jimena kwa magazetiView attachment 369577View attachment 369578
Na kufikia hapo basi sina la ziada kutoka kwenye magazeti, hivyo basi nakusanya kila kilicho changu na kumpisha Mussolin5 aje na historia. Shukrani sana kwa nukuu ya leo toka kwa shululu maana ndio waliotudhamini asubuhi hii ya leo
nawatakia jumamosi njema na muwe na furaha tele
View attachment 369577View attachment 369578
Na kufikia hapo basi sina la ziada kutoka kwenye magazeti, hivyo basi nakusanya kila kilicho changu na kumpisha Mussolin5 aje na historia. Shukrani sana kwa nukuu ya leo toka kwa shululu maana ndio waliotudhamini asubuhi hii ya leo
nawatakia jumamosi njema na muwe na furaha tele
MorningMorng wajameni
Mbona huleti gazeti za udaku au kuna wazushi walikuwa wana"kuibia"View attachment 369577View attachment 369578
Na kufikia hapo basi sina la ziada kutoka kwenye magazeti, hivyo basi nakusanya kila kilicho changu na kumpisha Mussolin5 aje na historia. Shukrani sana kwa nukuu ya leo toka kwa shululu maana ndio waliotudhamini asubuhi hii ya leo
nawatakia jumamosi njema na muwe na furaha tele
NUKUU NO 1#
Madiba pia alionesha mapenzi makubwa kwa mazingira. Nakumbuka siku moja tukiwa tunatazama mazingira ya ziwa manyara na aliniambia kwa masikitiko kwamba mazingira yale ya kijani kibichi ndio yalikuwa mazingira ya kwao kabla hajaenda gerezani. Alisikitika sana kwamba mazingira hayo yameharibiwa kwa kisingizio cha maendeleo.
Haya yalisemwa na na barozi Ami Mpungwe alipokuwa akimweleza Rais wa kwanza wa Africa Kusikia(mweusi) Nelson Mandela, aliyeiongoza nchi hivyo kuanzia mwaka 1994 hadi 1999.
Mandela alifariki Dunia Dec 5,2013. Barozi Mpungwe alizaliwa mwaka 1950 na aliwahi kuwa barozi wa wa kwanza wa Tanzania nchini Africa kusini, baada ya Mandela kuchaguliwa kuongoza taifa hilo
NUKUU NO 2#
Tangu askofu Aloysius Balina apate daraja la upadre mwaka 1971, alikuwa kiongozi madhubuti wa kiroho pia hakubagua watu na alikuwa mwadilifu katika shughuli zake zote za maendeleo.
Taifa halitamsahau. Alisaidia serikali katika masuala mengi yanayohusu afya na Elimu, akishilikiana vema katika kutafuta wafadhili mbali mbali kutoka ndani na nje ya nchi kukisaidia chuo kikuu cha Bugando, jijini Mwanza.
Haya yalisemwa na Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, Nov 11,2012,wakati wa mazishi ya askofu wa jimbo la shinyanga Aloysius Balina, kilichotokea Nov 6,2012
Morng wajameni
Morning..Ladies n Gentlemen, Goodmorning.
Ni poa kaka, nimefurah kukuona tenafresh.. mambo vipi?
Duh kweli hukuzipenda... Umeamkaje lakin?Ila sio hesabu ngumu kama zile za shule
Salama kabisa sijui wewe?Duh kweli hukuzipenda... Umeamkaje lakin?
Sijapata, chanzo changu hakiyaweki siku hizi sasa sijui kwaniniMbona huleti gazeti za udaku au kuna wazushi walikuwa wana"kuibia"
..............
KaribuAsante jimena kwa magazeti
Ni shiiiidaJimena katika ubora wako... #72k