Makapuku Forum

Jamaa nasikia hadi leo anashikilia rekodi ya kuwa Rais mbumbumbu kuliko wote barani Africa...Koplo huyo nasikia elimu yake haifiki drs la 7
Only in Africa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
................
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 

Na kufikia hapo basi sina la ziada kutoka kwenye magazeti, hivyo basi nakusanya kila kilicho changu na kumpisha Mussolin5 aje na historia. Shukrani sana kwa nukuu ya leo toka kwa shululu maana ndio waliotudhamini asubuhi hii ya leo
nawatakia jumamosi njema na muwe na furaha tele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…