Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Ushauri wa bitoz ni sahihi, wahi hospital yawezekana ana uvimbeNaomben kuuliza mm na mke wng tukifany tendo la ndoa 1.. Hafiki kwa wakati na 2...hua damu zina mtoka ila hii ya damu ndo kubwa na 3... Akishika mimba zinatoka.... Naomben ushauli wenu nifanye nn kuhusu haya......
Leo katika Historia:
1980 - Dirk Kuyt anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Liverpool na timu ya Taifa ya Uholanzi.
Hongera chukua zawadi 40288147766009Leo katika Historia:
Leo ni siku ya Vyombo vya Habari huko nchini Azerbaijan.
Mnyama...jamaa ni fighter!!
Leo katika Historia:
1984 - Stewart Downing anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Liverpool, Aston Villa na timu ya taifa ya England.
Asante sana mkuu mussolin, vp hali ya hewa hukoTukutane tena kesho kwa Udhamini mnono wa TGIF!! ( Crazy Friday ).
Bye...
Leo katika Historia:
1992 - Pablo Escobar anafanikiwa kutoroka gerezani huko Medellin nchini Colombia.
Ni mmoja kati ya wafanyabiashara hatari na tajiri wa Madawa ya Kulevya kuwahi kutokea katika uso wa Dunia.
Alikuwa na utajiri wa kutosha lakini hakuwahi kutambuliwa kwenye orodha ya matajiri wa dunia kwa kuwa vyanzo vya mapato yake ni biashara haramu.
Leo katika Historia:
2003 - Uday Hussein anauwawa na majeshi ya Marekani katika mapambano yaliyochukua masaa matatu huko Tikrit nchini Iraq.
Alikuwa ni mtoto wa Saddam Hussein, Rais wa zamani wa Iraq.
Leo katika Historia:
2003 - Qusay Hussein anauwawa.
Huyu pia ni mtoto mwingine wa Saddam Hussein.
Aliuwawa pamoja na ndugu yake Uday katika mapambano yaliyochukua takribani masaa matatu huko Tikrit nchini Iraq.
Baridi kali sana, kesho inabidi nigeuzeAsante sana mkuu mussolin, vp hali ya hewa huko
Leo katika Historia:
Leo ni siku ya Vyombo vya Habari huko nchini Azerbaijan.
Ahsante kwa kunidanganya!!Hongera chukua zawadi 40288147766009
Asante kwa mapicha picha!!