Makapuku Forum

Leo katika Historia:

1934 - John Dillinger anauwawa.

Ni Jambazi maarufu aliyetikisa katika wizi wa kuvamia Benki huko Marekani. Pia alikuwa ni mahiri kwenye kutoroka jela.

Anachukuliwa kama mmoja kati ya wahalifu waliowahi kusumbua vyombo vya dola nchini Marekani.
 
Leo katika Historia:

1992 - Pablo Escobar anafanikiwa kutoroka gerezani huko Medellin nchini Colombia.

Ni mmoja kati ya wafanyabiashara hatari na tajiri wa Madawa ya Kulevya kuwahi kutokea katika uso wa Dunia.

Alikuwa na utajiri wa kutosha lakini hakuwahi kutambuliwa kwenye orodha ya matajiri wa dunia kwa kuwa vyanzo vya mapato yake ni biashara haramu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…