Makapuku Forum

Nimekuwa na mfumo wangu wa maisha, sitaki kuubadilisha eti kwa sababu mimi ni Rais, napata kipato kikubwa zaidi kuliko nachohitaji, hata kama kipato hicho kwa wengine si kikubwa. Kwangu mimi, si suala la kutoa sadaka bali ni suala la wajibu. Haya yalisemwa na aliyekuwa Rais wa Uruguay, Jose Mujica alipokuwa akizungumza uamuzi wake wa wa kugawa asilimia 90 ya mshahala wake kama sehemu ya Msaada kwa yatima na wengine wasiojiweza. Mujica alizaliwa Mei 20,1935,alikuwa Rais wa 40 wa Uruguay akiongoza taifa hilo kwa muhura mmoja tu Kati ya 2010 hadi 2015
 
Huyu alitisha kwakweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…