Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Jul 21, 2016 #71,441 Sina la ziada toka maktaba kwangu, tukutane kesho kwa Udhamini mnono wa baridi kali la Arusha.
lizziebettie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2014 Posts 2,873 Reaction score 11,966 Jul 21, 2016 #71,442 Jimena said: Pamoja sana wifi ake Halafu fanya kupita hapa Wakenya huu unyanyasaji utaisha lini?? Click to expand... Sawa wifi, wana laana hao vijana
Jimena said: Pamoja sana wifi ake Halafu fanya kupita hapa Wakenya huu unyanyasaji utaisha lini?? Click to expand... Sawa wifi, wana laana hao vijana
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Jul 21, 2016 #71,443 lizziebettie said: Powaa bwana shululu Click to expand... Nimefurahi kukuona upo
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Jul 21, 2016 #71,444 Jimena said: Asante sana na karibu wala hujachelewa Click to expand... Ahsante!!
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Jul 21, 2016 #71,445 Jimena said: Apumzike kwa amani Kazi ya urais sio nyepesi Click to expand... Ila kwa nchi nyingi za Afrika hiyo kazi ni nyepesi na ndio maana kila kukicha katiba zinabadilishwa ili waendelee kudumu madarakani.
Jimena said: Apumzike kwa amani Kazi ya urais sio nyepesi Click to expand... Ila kwa nchi nyingi za Afrika hiyo kazi ni nyepesi na ndio maana kila kukicha katiba zinabadilishwa ili waendelee kudumu madarakani.
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Jul 21, 2016 #71,446 Mussolin5 said: Samahani kwa kuchelewa. Leo katika Historia: 1970 - Bwawa la Aswan lakamilika huko Misri baada ya ujenzi wake kuchukua miaka 11. Click to expand... Usijali, siku bado haijaisha
Mussolin5 said: Samahani kwa kuchelewa. Leo katika Historia: 1970 - Bwawa la Aswan lakamilika huko Misri baada ya ujenzi wake kuchukua miaka 11. Click to expand... Usijali, siku bado haijaisha
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Jul 21, 2016 #71,447 Mussolin5 said: Sina la ziada toka maktaba kwangu, tukutane kesho kwa Udhamini mnono wa baridi kali la Arusha. Click to expand... Asante kwa historia, tusisahau pia na baridi la rungwe, mafinga, makete, njombe, mbeya na lushoto
Mussolin5 said: Sina la ziada toka maktaba kwangu, tukutane kesho kwa Udhamini mnono wa baridi kali la Arusha. Click to expand... Asante kwa historia, tusisahau pia na baridi la rungwe, mafinga, makete, njombe, mbeya na lushoto
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Jul 21, 2016 #71,448 Mussolin5 said: Sina la ziada toka maktaba kwangu, tukutane kesho kwa Udhamini mnono wa baridi kali la Arusha. Click to expand... Asante sana mkuu mussolin kwa leo katika historia
Mussolin5 said: Sina la ziada toka maktaba kwangu, tukutane kesho kwa Udhamini mnono wa baridi kali la Arusha. Click to expand... Asante sana mkuu mussolin kwa leo katika historia
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Jul 21, 2016 #71,449 shululu said: Usijali, siku bado haijaisha Click to expand... sawa mkuu...
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Jul 21, 2016 #71,450 Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1986 - Anthony Annan anazaliwa. Ni mchezaji wa kiungo toka nchini Ghana. Click to expand... Happy Birthday Tonny
Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1986 - Anthony Annan anazaliwa. Ni mchezaji wa kiungo toka nchini Ghana. Click to expand... Happy Birthday Tonny
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Jul 21, 2016 #71,451 Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1991 - Sara Sampaio anazaliwa. Mwanamitindo mashuhuri toka nchini Ureno. Click to expand... Happy Birthday Sara
Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1991 - Sara Sampaio anazaliwa. Mwanamitindo mashuhuri toka nchini Ureno. Click to expand... Happy Birthday Sara
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Jul 21, 2016 #71,452 Mussolin5 said: Sina la ziada toka maktaba kwangu, tukutane kesho kwa Udhamini mnono wa baridi kali la Arusha. Click to expand... Hehehehehe kumbe ndio maana umeamka saa tano?? Asante sana Mussolin5 kwa historia murua kabisa
Mussolin5 said: Sina la ziada toka maktaba kwangu, tukutane kesho kwa Udhamini mnono wa baridi kali la Arusha. Click to expand... Hehehehehe kumbe ndio maana umeamka saa tano?? Asante sana Mussolin5 kwa historia murua kabisa
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Jul 21, 2016 #71,453 lizziebettie said: Sawa wifi, wana laana hao vijana Click to expand... Laana kubwa sana
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Jul 21, 2016 #71,454 Mussolin5 said: Ila kwa nchi nyingi za Afrika hiyo kazi ni nyepesi na ndio maana kila kukicha katiba zinabadilishwa ili waendelee kudumu madarakani. Click to expand... Kwavile wanachakachua na haki haizingatiwi ipasavyo
Mussolin5 said: Ila kwa nchi nyingi za Afrika hiyo kazi ni nyepesi na ndio maana kila kukicha katiba zinabadilishwa ili waendelee kudumu madarakani. Click to expand... Kwavile wanachakachua na haki haizingatiwi ipasavyo
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Jul 21, 2016 #71,455 Mussolin5 said: Leo atika Historia: 1944 - John Atta Mills anazaliwa. Ni rais wa 3 wa Ghana. Alifariki mwaka 2012. Click to expand...
Mussolin5 said: Leo atika Historia: 1944 - John Atta Mills anazaliwa. Ni rais wa 3 wa Ghana. Alifariki mwaka 2012. Click to expand...
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Jul 21, 2016 #71,456 Bitoz said: View attachment 368662View attachment 368663 Click to expand... Kafanana na Mugabe ila ye ni hendsam
Bitoz said: View attachment 368662View attachment 368663 Click to expand... Kafanana na Mugabe ila ye ni hendsam
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Jul 21, 2016 #71,457 Wapi jonax lete hadithi basiiii
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Jul 21, 2016 #71,458 Mussolin5 said: Samahani kwa kuchelewa. Leo katika Historia: 1970 - Bwawa la Aswan lakamilika huko Misri baada ya ujenzi wake kuchukua miaka 11. Click to expand...
Mussolin5 said: Samahani kwa kuchelewa. Leo katika Historia: 1970 - Bwawa la Aswan lakamilika huko Misri baada ya ujenzi wake kuchukua miaka 11. Click to expand...
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,303 Reaction score 17,827 Jul 21, 2016 #71,459 Jimena mambo
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Jul 21, 2016 #71,460 Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1979 - Andriy Voronin anazaliwa. Mchezaji wa mpira wa miguu wa zamani toka Liverpool na timu ya taifa ya Ukraine. Click to expand...
Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1979 - Andriy Voronin anazaliwa. Mchezaji wa mpira wa miguu wa zamani toka Liverpool na timu ya taifa ya Ukraine. Click to expand...