Makapuku Forum

Hahahahahaha
Mi ntabanana nao mwanzo mwisho,
Pia kuna majukwaa sio sana kuunganisha thread
Wanaudhi.......
Halafu siku hizi kuna gap sasa wakongwe wanakaushia za makapuku na sisi tunakaushia zao so KAZI IPO
Mfano Jukwaa la fashion huwezi kuwaona kwenye thread zangu japo nimeandika vitu vikali

.............
 
Ndio hivyo, tunasapotiana wenyewe kwa wenyewe
Atakaeguswa basi ataweka neno
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…