Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,269
Jimena jimena, vitu vingine twasema weka mbali na watoto bhana..aaaaa
Jimena jimena, vitu vingine twasema weka mbali na watoto bhana..aaaaa
Sasa basi uwe unatoa mawili mawili ili tukaririFIX ZA BITOZ:
Kipwe= Demu kimbaumbau
Kwaguru=Bonge
Chofyu= mvivu
Tengu= ugali
Watag Kwaguru na Chofyu km unawajua....mi nipo gheto na Kipwe tunakulaTengu kwa tokoto zetu
![]()
![]()
![]()
![]()
..............

Uwe unascreenshot na kusaveSasa basi uwe unatoa mawili mawili ili tukariri
Maneno yako ni magumu na unatoa mengi mengi hivi mie ntayakariri lini jamani![]()
Hiyo kweli weka mbali na watotoJimena jimena, vitu vingine twasema weka mbali na watoto bhana..aaaaa
Tigo*104*8959 1478 3734 965#
Lol mkuu asanteeeeee Kwa vochaaa ya jero tigo*104*8959 1478 3734 965#
Hahah hongeraLol mkuu asanteeeeee Kwa vochaaa ya jero tigo
Hongera...voda loading na ndo ya mwishoHadi nimejistukia au kuna zoez linafanyika nimedandia train Kwa mbele? Maana nimerukia vocha lol hebu mnijuze hope mpo powa
Asanteeeeee sanaaaa barikiwa mnooo!!Hahah hongera
Bahati mbaya Sina voda itakua riziki ya mwengineHongera...voda loading na ndo ya mwisho
Amen, ni kwa hisani ya jimenaAsanteeeeee sanaaaa barikiwa mnooo!!
Bahati mbaya Sina voda itakua riziki ya mwengine