Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,268
Jimena habari za kutwa, hii ni saa ya kutimiza ile ahadi, uwaandae uwapendao yaani kf wakae tayari
Jimena habari za kutwa, hii ni saa ya kutimiza ile ahadi, uwaandae uwapendao yaani kf wakae tayari
Niko poa kabisa sijui weweJimena habari za kutwa, hii ni saa ya kutimiza ile ahadi, uwaandae uwapendao yaani kf wakae tayari
Kibaoni Tegeta?? Kina ukubwa gani na ni pesa ngapi?Jamani makapuku wenzangu nauza kiwanja, maeneo ya kibaoni, kimepimwa kipo barabaran, ni maeneo yaliyopimwa na serikali
Kwema tu nnawamiss sana mchana ubize umenizuia kujoin familyNiko poa kabisa sijui wewe
Sawa kabisa weka mambo watu wagombanie goli
Ni sawa kabisa, yote heri tu maisha ndio unavyotaka hivyoKwema tu nnawamiss sana mchana ubize umenizuia kujoin family
Umesomek wambie
SureNi sawa kabisa, yote heri tu maisha ndio unavyotaka hivyo
Ndugu yangu thamahani.. Thana nmevurugwa... Kipo kibada not kibaoni, ni kibada sqm 804, bei ml 70 inapungua.Kibaoni Tegeta?? Kina ukubwa gani na ni pesa ngapi?
Weka bei mezani nduguJamani makapuku wenzangu nauza kiwanja, maeneo ya kibaoni, kimepimwa kipo barabaran, ni maeneo yaliyopimwa na serikali
Kwa hisani ya IRON LADY...JIMENA,Ni sawa kabisa, yote heri tu maisha ndio unavyotaka hivyo
Ukifanikiwa kudaka mpe jimena mrejesho, zoezi liendeleeKwa hisani ya IRON LADY...JIMENA, View attachment 367770
70m, kipo barabarani, viwanja vilivyopimwa na serikali..Weka bei mezani ndugu
Asante kwa taarifa, ntauliza wenye uhitajiNdugu yangu thamahani.. Thana nmevurugwa... Kipo kibada not kibaoni, ni kibada sqm 804, bei ml 70 inapungua.
Kipo barabarani, ni viwanja vilivyopimwa na sirikali..
Sawa best..Asante kwa taarifa, ntauliza wenye uhitaji