Yapo
1/Hivi Kikofia anavuta ugoro mbona leo kaharibu ...katukana?
2/Itakuwa na roho mbaya haiwezekani 50k na 70k utupie ww..ni kweli?
3/Nasikia thread zile zote fake wamepoteana...ni kweli?
...........
No 3 ni kweli zimedodaYapo
1/Hivi Kikofia anavuta ugoro mbona leo kaharibu ...katukana?
2/Itakuwa na roho mbaya haiwezekani 50k na 70k utupie ww..ni kweli?
3/Nasikia thread zile zote fake wamepoteana...ni kweli?
...........
Nakusihi usirudie bhanaSawa...
Huyu ntakuwa namzingua pm
Utani una mipaka punguza undezi tofautisha utani na TUSI
KweliApambane amtoe the boss
Basi usiende tena tufikishe 71kTupinge
Usioge tena subiri 71k70k inanukia... yani nashindwa hata kwenda kuoga nikihofia kuwa ntaikosa!
Yani nakomaaa hapa hapa mpk kieleweke
Aachane abaki tufikishe71k70k anaitakaanaitaka pia
Utani una mipaka punguza undezi tofautisha utani na TUSI
But nimekusamehe
.................................
Bora umeongeza er kwani neno hilo limefutwa..eg kilazaK stands for Kilazer
Hahaha nilikuwa natupa mawe ndo nkataja jinakoNipo hapa na mimi ndio mshindi
NimeonaaaHuwezi kuyazuia mafuriko kwa mikono!!
Karibu sanaaDah... Nina muda sana tangu nikoment humu.
za kushinda jamaa zangu!
Haha we ulitupia 69, 999 na mi 70, 001.. so we uliwah kidogo mi nlichelewa kidogoHivi inakuwaje hata mimi niliona nimeinyaka hadi nkashangilia?
Haya matokeo yamepangwa nini!
Nitagombania tena, 80K, 90K kisha baba lao 100K.Aachane abaki tufikishe71k
Ni jibu hii ni breed gani?
Nyie postini weeeeee ikifika post ya 67995 ndo nitajitokeza sasa
Nmeshakata tamaa sasa iko ntaifukuzia 100k kimya kimya ili miwekwe kwenye front page kama Mussolin5Usioge tena subiri 71k
Dah... Nina muda sana tangu nikoment humu.
za kushinda jamaa zangu!
Kikofia anazingua!!Yapo
1/Hivi Kikofia anavuta ugoro mbona leo kaharibu ...katukana?
2/Itakuwa na roho mbaya haiwezekani 50k na 70k utupie ww..ni kweli?
3/Nasikia thread zile zote fake wamepoteana...ni kweli?
...........