Makapuku Forum

Ndio hivyo, lakini Kuna watu ukiwaambia hivyo,wanakuona kama vile hupendi mafanikio, lakini ndio ukweli wenyewe
Nakuelewa sana huwa naona kule jukwaa la politics jinsi watu wanatokwa povu wakiskia hivo unaonekana kama si mzalendo japo mi sijawah ona nchi iliyoendelea secta ya viwanda bila kuwa na umeme wa kutosheleza na reliable
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…