Makapuku Forum

Kutokana na kutokuwepo hewani kwa jf jana jioni, nilishindwa kurusha kile pindi chetu cha (je wajua?).
Hivyo naomba kufidia muda huu kabla jimena+musolin5 hawajaingia studio..
Asante kwa kunielewa na ubarikiwe
 
TETEMEKO BAYA ZAIDI LILILOWAHI KUTOKEA
1) Je wajua?
Tetemeko baya zaidi lililowahi kutokea duniani ni lile la mwaka 1960, huko Valdivia- Chile, ambalo lilisababisha vifo vya watu 1700 nyuma ya tukio la tsunami iliyopoteza maisha ya watu 2000.
Tetemeko hilo lilikuwa na kipicho cha richa 9.4-9.6. Pia lilisababisha hasara ya dola 600 million.
Nchi ya Chile inajulikana kama nchi ya MATETEMEKO
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…