Makapuku Forum

NUKUU NO 2# . Uaminifu na imani katika mioyo ya wanachama wa TANU ni vitu muhimu zaidi kuliko idadi ya matawi ya TANU au idadi ya wanachama, haya yalisemwa na Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere, Sept 8, 1971 mjini dar es salaam wakati akifungua rasmi tawi la TANU kwenye makao makuu ya wizara ya elimu ya Taifa, katika hotuba yake ya ufunguzi, mwalimu alitilia mkazo umuhimu wa Elimu ya watu wazima. Mwalimu Julius Nyerere alizaliwa April 13,1922 na kufariki Dunia Oct 14,1999
 
Maneno mazuri sana haya
 
Nyerere alikuwa special kwakweli
 
The legendary himself!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…