Leo katika Historia:
1913 - Gerald Ford anazaliwa. Ni Rais wa 38 wa Marekani.
Ford anabakia kuwa Rais pekee wa Nchi hiyo kushika nyadhifa ya Makamu wa Rais baadae Nyadhifa ya Urais bila kuchaguliwa kwa kura.
Alishika nyadhifa hizo kwa wakti tofauti kutokana na viongozi hao kujiuzulu.